Sasa haki ya Mungu ipo kwa njia ya Imani katika Yesu kristo kwa wote waaminio.

FANYA UAMUZI SASA!!! Mtu ye yote asiyeuchukua msalaba wake na kuja nyuma yangu, hawezi kuwa mwanafunzi wangu (Yesu). Lk 14:27

Name:
Location: Dar Es Salaam, Tanzania

"MUNGU WA BABA YETU IBRAHIM ATUBARIKI"

Tuesday, September 27, 2005

MAMBO YA KUFANYA KABLA YA KUOA AU KUOLEWA

KUOA/KUOLEWA NI JAMBO LINALOGUSA VIJANA WENGI HASA KWA KUKOSA MAFUNZO YA NDOA KABLA YA KUFIKIA WAKATI WA NDOA. FUATILIA KWA KARIBU UFAIDIKE click here more>>

1 Comments:

Blogger patashika said...

hayo unayoongelea niyakweli kabisa lakini ni vigumu kuyatekeleza kwa walio wengi kwa sababu wengi wanaakili za kushikiwa hawana uhakika ni kitu gani wanataka kwenye maisha na pia hawajui ndoa ni swala lingine kabisaaa. kuna mwanamke mimi namfahamu aliolewa hata hazijapita wiki mbili mama yake akamwambia aende uingereza huko ndipo alikuwa anaishi kabla hajaolewa kumbe huko uk anamwanaume mwingine, ambaye mamake alikuwaanajua hilo swala. Akitoka Tanzania alikuwa tayari ameshika mimba ya huyo mume wake alipofika uingereza akaendeleza uzinifu wake na huyo mwanaume wake. Baada ya mwezi mmoja mume wake aliyeko Tanazania akafariki na ajali mbaya sana ya gari, ikampasa sasa huyu mwanamke arudi Tanzania kuzika ikawa ni ngumu sana kuingia Tanzania kwasababu (alijiripua) yaani alijifanya mkimbizi na jina ambalo alikuwa akitumia kwenye pasipoti yake halikuwa lake, basi hakuweza kuwahi mazishi lakini hatimaye aliingi nchini Tanzania. Baada ya mazishi mamayake akamwambia huyo mwanamke atoe ile mimba kwani inafaida gani kubeba mimba ya mtu aliyekufa??? Basi mwanamke akafuata ushauri wa mama yake akatoa ile mimba ili aponde maisha. vikafuatia visa vingi tuu na mikasa baada hapo, kwa hiyo unaona bwana MAMBO YA NDOA NI YA KUANGALIA SANA

8:46 PM  

Post a Comment

<< Home